Video Game Association of Tanzania (VGAT)
Video
Game Association Of Tanzania (V.G.A.T) NI CHAMA KINACHO HUSIKA NA
UENDESHAJI WA MASHINDANO YA MCHEZO WA VIDEO GAME AMBAO HUFANYIKA KILA
MWAKA KITAIFA HAPA TANZANIA. CHAMA PIA KINAHUSIKA NA USAJILI WA VILABU
VYA MCHEZO HUU WA VIDEO GAME.
(UUNDAJI WA VILABU)
Vilabu vitaundwa tu pale wachezaji wasiopungua kumi watakapokuwa pamoja na kujisajili kama kilabu.
(AINA YA VILABU)
Kutakuwa na aina Tatu za Vilabu,yaani vya mtaani ,Vya Shule na Vyuo na Vya kundi huru.
Kutakuwa na kundi huru ambalo litatambuliwa kama kilabu ambacho mtu
mmoja mmoja ataweza kujiandikisha na kupimwa kujua viwango vyao katika
kipindi cha mara 3 kwa mwaka,kundi hili litahusisha wote wasioweza
kuwepo kwenye vilabu kwa sababu mbali mbali ikiwa pamoja na kuwa shule
au shughuli nyingine mpaka pale wanapokuwa kwenye likizo za mwaka au
likizo za shule.Kupimwa kiwango kwa kundi hili kutafanyika kwenye miezi
ya sita na kumi na mbili kabla ya michuano mikubwa ya VIDEO GAME
TOURNAMENT (V.G.T) inayoendeshwa na Image Profession & iP Sports
Club
(WAYS OF COMUNICATION)
KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA MCHEZO
HUU WA VIDEO GAME, MICHUANO NA USAJILI WA VILABU WASILIANA NA
MWENYEKITI (V.G.A.T) na UONGOZI MZIMA WA CHAMA KWA MAWASILIANO HAYA...
Mr. Kadhi Ally +255 713 692 992
Emanuel Mannase +255 713 484 040
Mr. Badru Soud +255 713 670 770
Mr. Paschal Ngaiza +255 655 609 150
No comments:
Post a Comment