Sunday, February 26, 2012

Video Game Association of Tanzania (VGAT)





                                  
Video Game Association Of Tanzania (V.G.A.T) NI CHAMA KINACHO HUSIKA NA UENDESHAJI WA MASHINDANO YA MCHEZO WA VIDEO GAME AMBAO HUFANYIKA KILA MWAKA KITAIFA HAPA TANZANIA. CHAMA PIA KINAHUSIKA NA USAJILI WA VILABU VYA MCHEZO HUU WA VIDEO GAME.
(UUNDAJI WA VILABU)
Vilabu vitaundwa tu pale wachezaji wasiopungua kumi watakapokuwa pamoja na kujisajili kama kilabu.

(AINA YA VILABU)
Kutakuwa na aina Tatu za Vilabu,yaani vya mtaani ,Vya Shule na Vyuo na Vya kundi huru.
Kutakuwa na kundi huru ambalo litatambuliwa kama kilabu ambacho mtu mmoja mmoja ataweza kujiandikisha na kupimwa kujua viwango vyao katika kipindi cha mara 3 kwa mwaka,kundi hili litahusisha wote wasioweza kuwepo kwenye vilabu kwa sababu mbali mbali ikiwa pamoja na kuwa shule au shughuli nyingine mpaka pale wanapokuwa kwenye likizo za mwaka au likizo za shule.Kupimwa kiwango kwa kundi hili kutafanyika kwenye miezi ya sita na kumi na mbili kabla ya michuano mikubwa ya VIDEO GAME TOURNAMENT (V.G.T) inayoendeshwa na Image Profession & iP Sports Club

(WAYS OF COMUNICATION)
KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA MCHEZO HUU WA VIDEO GAME, MICHUANO NA USAJILI WA VILABU WASILIANA NA MWENYEKITI (V.G.A.T) na UONGOZI MZIMA WA CHAMA KWA MAWASILIANO HAYA...
Mr. Kadhi Ally +255 713 692 992
Emanuel Mannase +255 713 484 040
Mr. Badru Soud +255 713 670 770
Mr. Paschal Ngaiza +255 655 609 150

No comments:

Post a Comment