ALLY ZOMBOKO THE KING
NGUVU KIJIJINI MJINI AKILI
Tuesday, June 26, 2012
ALLY ZOMBOKO THE KING: MAZIMISHO YA SIKU YA MADAWA YA KULEVYA
ALLY ZOMBOKO THE KING: MAZIMISHO YA SIKU YA MADAWA YA KULEVYA: MAZIMISHO YA SIKU YA MADAWA YA KULEVYA YAMEAZIMISHWA LEO KATIKA WILAYA YA KINONDONI KATA YA TANDALE MGENI RASMI ALIKUWA WAZIRI WA MAMBO YA...
MAZIMISHO YA SIKU YA MADAWA YA KULEVYA
MAZIMISHO YA SIKU YA MADAWA YA KULEVYA YAMEAZIMISHWA LEO KATIKA WILAYA
YA KINONDONI KATA YA TANDALE MGENI RASMI ALIKUWA WAZIRI WA MAMBO YA
NDANI EMMANUEL MCHIMBI
MH : EMMANUEL MCHIMBIMH : EMMANUEL MCHIMBI AKIWA NA WALIO KUWA WASILIKA WA
WADAWA YA KULEVYA
YOUTH COUNSELING AND RENBILITATION CENTRE {YCRC}
HAWA NI WAJASILIAMALI
Saturday, April 7, 2012
R.I.P KANUMBA
R.I.P KANUMBA
Sisi tulimpenda lakini mungu amempenda zaidi yetu poleni sana wote mlio pata na msiba huu niwetu sote watanzania mungu haiweke roho ya STEVEN KANUMBA mahala pema
Monday, March 26, 2012
Drawing Competition
Mr Emmanuel N.M.Manase Prof Hermas Mwansoko
Drwaing Competition Organised by Image Profession & iP Sports Club held in 2011 with participants from Nursery,Secondary and Higher Learning Institute ,Closing Event held on Sat 24,March 2012 with Guest of Honor Representative of Minister of Information,Youth,Sports and Culture Prof Hermas Mwansoko.
Sunday, February 26, 2012
ALLY ZOMBOKO THE KING: Video Game Association of Tanzania (VGAT)
ALLY ZOMBOKO THE KING: Video Game Association of Tanzania (VGAT): Video Game Association Of Tanzania (V.G.A.T) NI CHAMA KINACHO HUSIKA NA UENDESHAJI WA MASHINDANO...
Video Game Association of Tanzania (VGAT)
Video
Game Association Of Tanzania (V.G.A.T) NI CHAMA KINACHO HUSIKA NA
UENDESHAJI WA MASHINDANO YA MCHEZO WA VIDEO GAME AMBAO HUFANYIKA KILA
MWAKA KITAIFA HAPA TANZANIA. CHAMA PIA KINAHUSIKA NA USAJILI WA VILABU
VYA MCHEZO HUU WA VIDEO GAME.
(UUNDAJI WA VILABU)
Vilabu vitaundwa tu pale wachezaji wasiopungua kumi watakapokuwa pamoja na kujisajili kama kilabu.
(AINA YA VILABU)
Kutakuwa na aina Tatu za Vilabu,yaani vya mtaani ,Vya Shule na Vyuo na Vya kundi huru.
Kutakuwa na kundi huru ambalo litatambuliwa kama kilabu ambacho mtu
mmoja mmoja ataweza kujiandikisha na kupimwa kujua viwango vyao katika
kipindi cha mara 3 kwa mwaka,kundi hili litahusisha wote wasioweza
kuwepo kwenye vilabu kwa sababu mbali mbali ikiwa pamoja na kuwa shule
au shughuli nyingine mpaka pale wanapokuwa kwenye likizo za mwaka au
likizo za shule.Kupimwa kiwango kwa kundi hili kutafanyika kwenye miezi
ya sita na kumi na mbili kabla ya michuano mikubwa ya VIDEO GAME
TOURNAMENT (V.G.T) inayoendeshwa na Image Profession & iP Sports
Club
(WAYS OF COMUNICATION)
KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA MCHEZO
HUU WA VIDEO GAME, MICHUANO NA USAJILI WA VILABU WASILIANA NA
MWENYEKITI (V.G.A.T) na UONGOZI MZIMA WA CHAMA KWA MAWASILIANO HAYA...
Mr. Kadhi Ally +255 713 692 992
Emanuel Mannase +255 713 484 040
Mr. Badru Soud +255 713 670 770
Mr. Paschal Ngaiza +255 655 609 150
Sunday, January 1, 2012
HAPPY NEW YEAR
Tunashukulu Mungu Kwa Kumaliza Mwaka 20011 Kwa usalama
Mapambano bado yanaendelea tunasonga mbele atuludi nyuma
Mapambano bado yanaendelea tunasonga mbele atuludi nyuma
Subscribe to:
Posts (Atom)